Posts

Showing posts from January, 2025

BODI YA UTALII (TTB) NA TURKISH AIRLINES KUSHIRIKIANA KUIMARISHA UTALII TANZANIA

Image
  BODI YA UTALII (TTB) NA TURKISH AIRLINES KUSHIRIKIANA KUIMARISHA UTALII TANZANIA Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii TTB, Bw. Ephraim Mafuru kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa  Turkish Airlines Bw. Abdulkadir Karaman wakibadilishana nyaraka za makubaliano mara baada ya kutia saini makubaliano ya ushirikiano kati yao kutangaza utalii wa Tanzania Katikati ni Mkurugenzi wa Utalii wizara ya Maliasili na Utalii Dkt. Dr. Thereza Mugobi Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii TTB, Bw. Ephraim Mafuru kushoto na Mkurugenzi Mtendaji wa  Turkish Airlines Bw. Abdulkadir Karaman wakionesha  nyaraka za  mikataba hiyo zenye makubaliano mara baada ya kutia saini na kuanzisha ushirikiano kati yao kutangaza utalii wa Tanzania, …………………  Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeanzisha ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Ndege la Uturuki (Turkish Airlines) kwa mkataba wa miaka mitatu, ukiwalenga kukuza utalii wa Tanzania katika masoko ya kimataifa. Ushirikiano huo unalenga kutumia mtandao...

President Samia launches 100bn/- five-star hotel in Zanzibar

Image
  President Samia launches 100bn/- five-star hotel in Zanzibar President Samia Suluhu Hassan has inaugurated a five-star international tourist hotel on the small Bawe Island, Zanzibar, an investment valued at over USD 42 million (approximately 100.8bn/-). The project, owned by the Cocoon Collection Company, was launched as part of the celebrations leading up to the Zanzibar Revolution Day climax. Speaking at the event on Tuesday, President Samia hailed the progress in Zanzibar as a testament to the revolutionary efforts that laid the foundation for development on the islands. “This achievement is a reflection of the dedication of past revolutionary leaders and the Zanzibar Revolutionary Government’s efforts to drive development on these islands,” she said. The Head of State commended the project’s investors for adhering to their agreement with the Zanzibar government and noted that the project is the company’s third investment in Zanzibar. She emphasized that this demonstrated inve...